Siku hii huadhimishwa kila mwaka ikiangazia maendeleo ya harakati ya ukombozi, na kuashiria azma ya watu wa Afrika kujikomboa kutoka kwa utawala na unyonyaji wa kigeni. Tukiwa tunaadhimisha siku hii, je je Mwafrika mwenyewe anaitambua ama anaithamini vipi? Lilian Mtono amezungumza na Mohammed Abdulrahman kuhusu hili na mengineyo na huu ndio mtizamo wake.