SiasaVyama vyasaini makubaliano ya serikali UjerumaniTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaIddi Ssessanga12.03.201812 Machi 2018Karibu miezi sita baada ya kufanyika uchaguzi mkuu nchini Ujerumani, viongozi wa vyama vya muungano wa kihafidhina vya CDU na CSU pamoja na chama cha Kisoshalisti cha SPD wametia saini mkataba wa serikali ya muungano wenye kurasa 177.https://p.dw.com/p/2uCOsMatangazo