Viwanja vitakavyoandaa dimba la Kombe la Dunia 2014
27 Mei 2014
Miji 12, msisimko wa kandanda katika nchi moja. Viwanja vitakavyotumika kwa Kombe la Dunia, vimesambaa kote nchini Brazil. Viwanja hivyo vinagharimu pesa ngapi na vinawakaribisha mashabiki wangapi?