1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vita dhidi ya ugonjwa wa kifua kikuu kwa watoto Tanzania

Hawa Bihoga20 Oktoba 2021

Mapambano dhidi ya kifua kikuu yameendelea kuchukua nafasi muhimu nchini Tanzania, juhudi zimekuwa zikiwekwa katika maeneo ya miji mikubwa ambako idadi kubwa ya watu inashuhudiwa. Miongoni mwa makundi yanayoathirika na TB ni watoto wa umri wa miaka 0 -14, kundi ambalo lipo kwenye hatari ya kueneza maradhi hayo kwa urahisi. Je maambukizi haya wanayatoa wapi? Makala ya Afya Yako inaangazia zaidi.

https://p.dw.com/p/41tr2