Kuna taarifa za kusambazwa kwa vipeperushi vyenye maneno yanayowataka wale vilioitwa ''machotara au Hizbu' , wanaoishi kwenye kisiwa cha Unguja wahame kwa usalama wao kabla ya marudio ya uchaguzi wa Machi 20. Sikiliza maelezo ya Mkurugenzi wa Upelelezi visiwani humo Salum Msangi