Viongozi wa Umoja wa Afrika waliokutana katika mkutano maalum wa kilele mjini Addis Ababa nchini Ethiopia, wamekubaliana kupunguza utegemezi wa wafadhili. Makubaliano hayo ni sehemu ya juhudi za kujaribu kufanikisha magauzi kadhaa ambayo yamekuwa yakipitiwa.