Ripoti ya hivi karibuni ya Umoja wa Mataifa imefichua kuwa uchumi utokanao na bahari unaweza kuchangia pakubwa katika kuharakisha ukuaji wa pato la Kenya. Ingawa karibu watu milioni 4.5 wanategemea shughuli za kiuchumi zinazopatikana baharini laini bado sekta hiyo haijaweza kuonyesha mafanikio. Kulikoni? Ungana na Fathiya Omar katika makala ya Vijana na Uongozi.