1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ni kwanini vijana wameyapa kisogo mapishi?

Angela Mdungu
Liochapishwa 14 Novemba 2024ilisahihishwa mwisho 14 Novemba 2024

Kwa taratibu za Kiafrika, shughuli mojawapo ya nyumbani anayopaswa kuijua na kuifanya kijana ni kupika. Lakini kwa sasa vijana hasa wa maeneo ya miji mikubwa hawafahamu kupika. Sikiliza makala ya vijana mchakamchaka kufahamu zaidi kuhusu mada hii.

https://p.dw.com/p/4myNL