JamiiVigezo vya kuzingatia unapoomba au unapokubali urafiki mitandaoniTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamii20.04.202120 Aprili 2021Je ni mambo gani unazingatia kabla ya kumtumia mtu ombi la urafiki, kukubali ombi la urafiki au kukataa ombi la urafiki kwenye mitandao ya kijamii? Haya ni maoni ya baadhi ya vijana kutoka Dar es Salaam.https://p.dw.com/p/3sHoOMatangazo