JamiiAfrikaViboko wasumbua wananchi wanaoishi kando ya mto RuziziTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamiiAfrika05.05.20225 Mei 2022Kijiji cha Katogota chenye takribani wakaazi 14,000 kiko kando ya Mto Ruzizi unaozitenga Burundi na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, binadamu na viboko wanajifunza kuishi pamoja, lakini hali hiyo ni ngumu sana. #kurunzihttps://p.dw.com/p/4As8mMatangazo