JamiiUzazi wa kubebewa mimba umekuwa biashara NigeriaTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamiiYusra Buwayhid11.01.201911 Januari 2019Hata mwanamke akiwa na matatizo yanayomzuia kubeba mimba, bado familia inaweza kupata mtoto kwa kubebewa mimba na mwanamke mwengine. Nchini Nigeria njia hiyo ya kisayansi imeanza kuwa biashara, licha ya kukemewa na viongozi wa kidni.https://p.dw.com/p/3BQ39Matangazo