Mafuriko yalipoukumba mji wa Nakuru Kenya, wakaazi waliamua kuanzisha kazi mpya ya kujikimu kimaisha, uvuvi wa samaki sato 'tilapia' ambao aghalabu hayapatikani katika maji ya chumvi. Jambo lisilo la kawaida katika mazingira hayo ya ziwa lenye maji ya chumvi.