1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Utulivu waanza kurejea Tana River

Admin.WagnerD24 Desemba 2012

Hali ya utulivu imeanza kurejea taratibu katika eneo la Tana River katika ukanda wa Pwani wa Kenya baada ya tukio la mauwaji ya zaidi ya watu 40 katika mapigano ya kikabila kati ya Waorma na Wapokomo yalitokea.

https://p.dw.com/p/178Qw
Wanajeshi wakiendesha operesheni za usalama katika eneo la Tana River, Kusini Mashariki mwa Kenya
Wanajeshi wakiendesha operesheni za usalama katika eneo la Tana River, Kusini Mashariki mwa Kenya.Picha: dapd

Mapigano hayo yalitokea Ijumaa iliyopita, na yanafuatia mengine yaliyotokea mwezi Septemba mwaka huu. Kutoka katika eneo hilo Sudi Mnette wa DW amezungumza na mmoja kati ya waratibu wa shughuli za uokozi kutoka Shirika la Msalaba Mwekundu nchini Kenya, Hassan Musa.

Sikiliza mahojiano hayo hapo chini.