Felisberto Pereira anayefahamika pia kama Botojo ni mtu aliyejizolea sifa kutokana na ubunifu wake wa kutengeneza rangi kutokana na mchanganyiko wa vitu mbalimbali vya kiasili kama ndizi, korosho na miti ya maembe. Fuatilia ubunifu wake katika vidio yetu ya Afrika yasonga mbele.