Katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, vyama vya muungano wa upinzani wa rais wa zamani Joseph Kabila, chake Moise Katumbi, chake Martin Fayulu pamoja na mashirika ya kijamii vimeungana katika kuitisha maandamano ya kupinga uteuzi wa mwenyekiti mpya wa tume ya uchaguzi nchini humo. Mengi zaidi na Saleh Mwanamilongo kwenye kipindi Kinagaubaga.