1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Utata kuhusu Ireland Kaskazini katika mchakato wa Brexit

Daniel Gakuba5 Septemba 2019

Makala ya Mwangaza wa Ulaya, safari hii inaangazia Ireland Kaskazini ambayo pia ilijulikana kama 'The Troubles' miaka 50 iliyopita. Utulivu iliyopatikana kufuatia makubaliano yaliyojulikana kama 'Ijumaa Kuu' hivi sasa unatishiwa na hatua ya Uingereza kujitoa ndani ya Umoja wa Ulaya, maarufu kama Brexit. Daniel Gakuba anasimulia zaidi.

https://p.dw.com/p/3P4QB