UtamaduniUtamaduni na Sanaa: Waturkana na tamasha la TobonguloreTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoUtamaduniThelma Mwadzaya08.11.20248 Novemba 2024Jamii ya Waturkana ina utajiri mkubwa wa utamaduni. Mavazi ya kiasili, nakshi, na shanga za kitamaduni, ngoma na mapochopocho ndivyo vinavyotawala kila mwaka kwenye tamasha la Tobongulore.https://p.dw.com/p/4mmkxMatangazo