Kauli ya Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta ya kumtaka makamu wake William Ruto kujiuzulu iwapo haridhiki kwa jinsi serikali inavyoendeshwa imefichua mpasuko mkubwa zaidi katika utawala wa juu kwenye taifa hilo la Afrika Mashariki. Je kauli hiyo inayaweka wapi mahusiano baina ya viongozi hao wawili?