Nchini Ethiopia, habari za kuaminika wakati mwingine huwa ngumu kupatikana. Imani kwa vyombo vya habari inazidi kudidimia na watu wengi hawawezi kununua gazeti hata kama wangetaka. Mantegaftot Sileshi alikutana na jamaa anayekodisha magazeti mjini Addis Ababa.