Matangazo
Washirika wa Rais mstaafu Kabila wanamlaumu kiongozi huyo kuwa chanzo cha mgawanyiko na kutoonesha njia katika wakati mambo yanakwenda mrama.
Lakini kwa nini Kabila mwenyewe amechagua kukaa kimya? Rashid Chilumba amemuuliza mchambuzi wa siasa za DRC Delphin Kapaya swali hilo. Hebu sikiliza.