Umuhimu wa Usalama wa chakula duniani, hasa katika nchi zinazoendelea, ni miongoni mwa mambo yatakayopewa nafasi kubwa katika mkutano wa leo (27.06.2011) wa Shirika la Chakula na Kilimo Duniani (FAO) Roma, Italia.
https://p.dw.com/p/11k9y
Matangazo
Sudi Mnette anazungumza na Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika wa Tanzania, Profesa Jumanne Maghembe, ambaye anahudhuria mkutano huo.