Bunge nchini Kenya linataka mashirika matatu ya serikali kufanya ukaguzi wa dawa zote zinazotumika kwenye kilimo na kupiga marufu zinazoaminika kuwa na viungo vinavyochangia kusababisha saratani. Haya yanajiri wakati ambapo kura mpya ya maoni imebaini kuwa 83% wana wasiwasi kuwa matumizi ya kupindukia ya dawa za kutibu mifugo za antibiotiki.