1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Upi mustakabali wa soka la Ujerumani sasa?

30 Juni 2021

Ujerumani imebanduliwa kutoka kwenye mashindano ya kuwania ubingwa wa Ulaya baada ya kufungwa magoli 2-0 na England Jumanne katika uwanja wa Wembley mjini London kwenye mechi ya raundi ya timu 16 bora. Msikilize mwandishi wa michezo Jacob Safari akizungumza na Grace Kabogo na kutoa tathmini kuhusiana na mechi ya Ujerumani na England na pia akizungumzia mustakabali wa soka la Ujerumani.

https://p.dw.com/p/3vpZQ