1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Upi mustakabali wa kandanda Kenya?

17 Oktoba 2022

Hali si hali nchini Kenya katika maswala ya kandanda. Shirikisho la kandanda nchini humo FKF lilifungiwa na Shirikisho la kandanda duniani FIFA na marufuku hayo yameathiri kila sekta ya mchezo huo unaoenziwa sana nchini humo. Msikilize mwanamichezo Anthony Aroshee akizungumza na Jacob Safari kuhusiana na mustakabali wa kandanda katika taifa hilo la Afrika Mashariki.

https://p.dw.com/p/4IIHg