Mara nyingi Ghana husifiwa kama nchi ya kidemokrasia katika kanda ya Afrika Magharibi. Lakini je ni mambo gani hufanyika wakat iwa kampeni na upigaji kura? Je kuna uwazi kwenye kampeni na ufadhili wa kampeni? Na je yawezekana mfumo wao unaanza kupoteza sifa kufuatia hatua ya pesa kutumiwa pakubwa kushawishi uchaguzi?