1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Unaweza kuihama nchi yako kwa ajili ya kutafuta maisha?

12 Machi 2018

Asilimia 77 ya watu kusini mwa Jangwa la Sahara barani Afrika ni vijana chini ya miaka 35. Vijana Mubashara - 77 Asilimia ni jukwaa lao, kupitia DW. Katika Vijana Mubashara kijana tunakuuliza, unaweza kuihama nchi yako kwa ajili ya kutafuta maisha bora? Msikilize Jacob Safari katika makala haya.

https://p.dw.com/p/2u94V