SiasaUN yaitaka Libya ifanye uchaguzi mapemaTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaGrace Kabogo14.09.201814 Septemba 2018Baraza la Usalama la umoja wa Mataifa limekataa kuiidhinisha Desemba 10 kuwa tarehe ya uchaguzi, likitaka uchaguzi wa wabunge na urais ufanyike mapema iwezekanavyo, kutokana na kuimarika kwa usalama. Papo kwa https://p.dw.com/p/34rMiMatangazo