1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Umuhimu wa mafuta Afrika

Iddi Ismail Ssessanga16 Oktoba 2013

Chad inachimba mafuta kwa miaka 10 sasa, lakini nchini hiyo bado kupiga hatua zozote za kimaendeleo, huku Ghana ikisifiwa kama mfano wa kuigwa. Uganda na Kenya nazo ziko njiani kuanza kuchimba mafuta.

https://p.dw.com/p/1A0aS
Chad imekuwa ikichimba mafuta kwa miaka kumi iliyopita.
Chad imekuwa ikichimba mafuta kwa miaka kumi iliyopita.Picha: Christof Krackhardt

DW inaangazia miaka 10 ya uchimbaji mafuta nchini Chad, na iwapo umeleta manufaa yoyote ya kiuchumi kwa taifa hilo maskini. Tunaiangazia pia Ghana kama nchi ya mfano, na Kenya na Uganda, ambazo zimegundua utajiri wa mafuta. Je, rasilimali hii ni neema au laana kwa Afrika?