Umoja wa Mataifa wapitisha kuwa maji ni haki ya binadamu
29 Julai 2010Matangazo
Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limetangaza kuwa uwezo wa kupata maji safi na salama ni haki ya kibinaadamu. Azimio hilo lilipitishwa na kuungwa mkono na mataifa 122 ingawa mengine yalikataa kuridhia. Hivi punde nimezungumza na Waziri wa Maji na Umwagiliaji nchini Tanzania, Profesa Mark Mwandosya na kwanza nilitaka kujua maoni yake kuhusu azimio hilo la Umoja wa Mataifa.
Insert: Interview
Mahojiano: Grace Patricia Kabogo/Mark Mwandosya
Mhariri:Josephat Charo