1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ulaya kuacha kubadilisha muda kulingana na majira

Daniel Gakuba
5 Septemba 2018

Kamisheni ya Umoja wa Ulaya, yataka kukomesha utaratibu wa kusogeza muda nyuma wakati wa majira ya baridi, na kuusogeza tena mbele wakati wa kiangazi. Mantiki ya utaratibu huu ni kutaka kutumia ipasavyo masaa mengi ya mwangaza wa jua.

https://p.dw.com/p/34M5g