SiasaUkunga wa jadi na athari kwa wajawazito To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaJacob Safari21.02.202221 Februari 2022Isikilize makala ya Afya Yako ambayo leo imeandaliwa na mwandishi wa DW kutoka Kigoma, Prosper Kwigize, ambapo leo anaangazia mada muhimu ya ukunga wa jadi ambao bado unaendelea hadi sasa na athari zake kwa wanawake wajawazito. Sikiliza. https://p.dw.com/p/47L5hMatangazo