You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Ukraine
Ukraine ndiyo nchi kubwa kabisa barani Ulaya. Ina wakaazi wapatao 43,000,000.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Mifumo ya ulinzi ya Urusi yadungua droni 54 za Ukraine
Jeshi la anga la Urusi limetangaza kuharibu droni 54 zinazodaiwa kurushwa na Ukraine usiku kucha .
Ujerumani yaahidi msaada zaidi kwa Ukraine
Ujerumani imeahidi msaada zaidi wa euro milioni 100 kwa ajili ya Ukraine wakati wa msimu wa baridi.
Rais Putin ameongeza ukubwa wa jeshi lake
Mwezi Disemba, Putin aliongeza ukubwa wa jeshi lake na kufikia milioni 2.2, huku wanajeshi wakiwa milioni 1.33.
Viongozi ulimwenguni walaani shambulio dhidi ya Trump
Wakati salamu za pole zikitolewa, Rais Joe Biden amesema idara ya usalama nchini humo inahitaji msaada zaidi.
Urusi yatoa wito kwa UN na ICRC kukataa mwaliko wa Ukraine
Urusi inawahamisha wakazi kutoka vijiji vingi katika eneo la Kursk ambao wako karibu na mpaka wa Ukraine.
Rais Zelensky asema jeshi lake limepungukiwa silaha
Ukraine inapambana vikali na Urusi na sasa inawaomba washirika wake wa magharibi kuiongezea silaha.
Ujerumani hatopeleka makombora ya masafa marefu Ukraine
Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz amesema nchi yake haitapeleka makombora ya masafa marefu ya Taurus nchini Ukraine.
Urusi na Ukraine zashambuliana kwa droni usiku kucha
Urusi na Ukraine zimeendelea kushambuliana kwa ndege zisizo na rubani, usiku wa kuamkia Jumapili.
Ukraine na Urusi zabadilishana wafungwa wa kivita
Rais wa Ukraine Volodymr Zelenskyy amesema mabadilishano mengine yatafanyika ndani ya siku mbili zijazo.
Biden na Starmer wakutana Washington kuijadili Ukraine
Urusi imeonya kuwa kuiruhusu Ukraine kutumia silaha za masafa marefu kutaitumbukiza NATO katika vita na Urusi.
Stoltenberg asema NATO ingeweza kuisaidia zaidi Ukraine
Ikiwa Ukraine itashinda vita hivyo basi hatua hiyo itakuwa mafanikio katika meza ya mazungumzo na Urusi.
Biden, Starmer waahirisha uamuzi wa makombora ya Ukraine
Starmer amesema alikuwa na mjadala mpana kuhusu mkakati na Biden lakini hakukuwa na mkutano kuhusu makombora.
Zelensky: Nitamkabidhi Biden "mpango wa ushindi" mwezi huu
Zelensky asema atamkabidhi Biden "mpango wa ushindi" mwezi huu
Biden, Starmer kujadili silaha za masafa marefu kwa Ukraine
Waziri Mkuu Starmer anakwenda Washington kukutana na Rais Joe Biden ambapo watajadili ombi la Ukraine kuhusu silaha.
Urusi yaishambulia Ukraine kwa droni usiku kucha
Wizara ya mambo ya nje ya Romania shambulio la Urusi dhidi ya meli ya nafaka ya Ukraine limechochea zaidi vita.
Urusi yaonya NATO kujiingiza kwenye vita vyake na Ukraine
Marekani imeiruhusu Kyiv kutumia silaha zake kushambulia ndani ya Urusi
Je, NATO inapaswa kudungua droni za Urusi?
Lakini NATO inalipinga pendekezo hilo, ikisema kuwa linaiweka kwenye hatari ya muungano huo kuwa sehemu ya mzozo huo.
Biden, Starmer kujadili silaha za masafa marefu kwa Ukraine
Starmer amesema mazungumzo hayo yatakuwa katika ngazi ya kimkakati kuhusu mzozo wa Ukraine na wa Mashariki ya Kati.
Blinken: Tutaendelea kuikabili Urusi inapoishambulia Ukraine
Poland imesisitiza ulazima wa kuzingatia mipaka ya kuiadhibu Iran inayodaiwa kupeleka makombora ya masafa mafupi Urusi.
Urusi yaishambulia meli ya ngano kwenye Bahari nyeusi
Urusi yaishambulia meli ya ngano na kuwauwa watu 3 Bahari nyeusi
Blinken afanya mazungumzo na viongozi wa Poland
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken amefanya mazungumzo na viongozi wa Poland.
Marekani na Uingereza zaipa Ukraine msaada wa $ bil. 1.5
Uingereza na Marekani zimeahidi kuipa Ukraine nyongeza ya msaada wa karibu dola bilioni 1.5 za Kimarekani.
Urusi yashambulia kwa droni kaskazini mwa Ukraine
Urusi imesabisha hasara kubwa kwenye miundo mbinu ya umeme katika mji wa Konotop kaskazini mwa Ukraine.
Marekani, UK zaahidi jibu la haraka kwa maombi ya Ukraine
Marekani na Uingereza zimeahidi Jumatano, kupitia haraka maombi ya Ukraine kulegeza vizuwizi juu ya matumizi ya silaha.
US, UK kutafakari ombi la Kyiv kulegeza vikwazo vya silaha
Marekani na Uingereza zimeahidi msaada wa dola bilioni 1.5 kwa Ukraine wakati wa ziara ya mawairi wa mambo ya nje Kyiv.
Mawaziri Blinken na Lammy waapa kuisaidia zaidi Ukraine
Mawaziri hao wa mambo ya kigeni wa Uingereza na Marekani wametoa ahadi hiyo mjini Kiev walikowasili siku ya Jumatano.
Iran yaapa kuchukua hatua kujibu vikwazo vipya
Marekani na mataifa yenye nguvu ya Magharibi, yametangaza vikwazo vipya kwa Iran kwa sababu ya kuipa Urusi makombora.
Mawaziri wa kigeni wa Marekani na Uingereza ziarani Kiev
Haya yanajiri wakati Kiev ikizishinikiza nchi washirika kuiruhusu kutumia makombora ya masafa marefu kuishambulia Urusi.
Scholz arejelea wito wa mkutano wa amani kuhusu Ukraine
Akizungumza bungeni mjini Berlin kiongozi huyo wa Ujerumani amesema huu ndio wakati wa kutumia fursa zilizobakia.
Trump, Harris wapambana kwenye mdahalo
Wagombea wa kiti cha urais wa Marekani, Kamala Harris na Donald Trump wamepambana kwenye mdahalo wa televisheni.
Iran yawekewa vikwazo madai ya upelekaji makombora Urusi
Mataifa ya magahribi yametangaza vikwazo dhidi ya Iran wanayoituhumu kuipatia Urusi makombora ya masafa marefu.
Urusi yadai kusonga mbele kilometa 1,000 ndani ya Ukraine
Urusi imesema vikosi vyake vimesonga mbele kwa kilometa 1,000 za mraba mashariki mwa Ukraine ndani ya miezi miwili.
BRICS yaanda mkutano kujadili kadhia ya vita nchini Ukraine
Mkutano huo wa siku mbili unafanyika mjini St.Petersburg nchini Urusi kuanzia leo hadi Septemba 12.
Blinken: Urusi ilipokea makombora kutoka Iran
Washington ilionya Iran kuipatia Urusi makombora ya masafa marefu kunaweza kuzidisha mvutano na vikwazo vipya.
Ukraine yailenga Urusi kwa zaidi ya droni 140
Vita vimeendelea kushika kasi kati ya Urusi na Ukraine, huku Ukraie ikiwashinikiza washirika wake kumuongezea silaha.
Blinken na Starmer kujadili namna ya kuisaidia Ukraine
Marekani na washirika wengine wa magharibi wanaangazia namna ya kuendelea kuisaidia Ukraine.
Blinken ziarani Uingereza kujadili mizozo ya Ukraine na Gaza
Waziri wa Mambo ya Kigeni wa Marekani Antony Blinken anafanya ziara nchini Uingereza.
EU, Marekani: Tutajibu ikiwa Iran inapeleka makombora Urusi
Umoja wa Ulaya umesema umepokea taarifa za kuaminika zinazoonesha kwamba Iran imeipatia Urusi makombora ya masafa.
MOSCOW: Scholz yupo sahihi kutaka uchunguzi wa Nord Stream
Waendesha mashtaka wa Ujerumani walitoa hati ya kukamatwa mkufunzi wa mbizi wa Ukraine kuhusiana na mashambulizi hayo.
Kansela Scholz atoa wito wa juhudi mpya za amani, Ukraine
Urusi na Ukraine hazijaweza kufanikisha mazungumzo ya amani tangu Urusi ilipoivamia rasmi Ukraine mwaka 2022
Idara ya upelelezi ya Ujerumani yaishutumu Urusi kwa hujuma
Idara ya upelelezi imesema Urusi pia ilifanya hujuma hizo kabla ya kuivamia Ukraine.
08.09.2024: Matangazo ya mchana
Sikiliza matangazo ya mchana ya DW Kiswahili
Scholz asisitiza kuhusu mazungumzo ya amani kwa Ukraine
Vyama vinavyotafuta mahusiano bora na Urusi vyapata kura zaidi Ujerumani.
Jeshi la Urusi ladai kuuteka mji mmoja mashariki mwa Ukraine
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskiy amteuwa mshauri wa nje wa masuala ya kimkakati.
Zelensky akutana na Meloni na kuomba silaha zaidi
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amekutana na Waziri Mkuu wa Italia, Giorgia Meloni.
Ombi la Ukraine la kutumia silaha za masafa marefu lakwama
Austin ametoa kauli hiyo wakati wa kuhitimisha mkutano wa wadau wa kimataifa wanaoiunga mkono Ukraine huko Ramstein.
Zelensky aomba silaha na idhini ya kuzitumia kuipiga Urusi
Urusi yaendelea kuishambulia bila huruma Ukraine upande wa Mashariki ikipania kuliteka eneo la Donbas.
Zelensky awaomba washirika wake silaha zaidi kuikabili Urusi
Rais Zelensky anatazamiwa kwenda nchini Italia kuzungumza na Waziri Mkuu Giorgia Meloni.
Bunge la Ukraine laidhinisha mawaziri wapya walioteuliwa
Balozi wa zamani wa Ukraine nchini Uturuki Andrii Sybiha, ameteuliwa waziri wa mambo ya nje, akichukua mikoba ya Kuleba.
Bunge la Ukraine lakubali kujiuzulu kwa Kuleba
Bunge la Ukraine limekubali kujiuzulu kwa waziri wa mambo ya nje wa nchi hiyo Dmytro Kuleba.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 6 wa 67
Ukurasa unaofuatia