JamiiUkiukaji wa haki za binadamu Sudan To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamiiZainab Aziz06.04.20186 Aprili 2018Sudan imekuwa inalaumiwa na kukoselewa juu ya kukiuka haki za binadamu. Lawama, madai na shutuma zimekuwa zinatolewa na mashirika kadhaa ya kutetea haki za binadamu ya ndani na nje ya Afrika. Zainab Aziz anaangazia yote haya katika Mbiu ya Mnyonge. https://p.dw.com/p/2vb8XMatangazo