1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Lubega Emmanuel 20 Februari 2017

Wakaazi wa kaskazini mwa Uganda wanahofia kuzuka kwa mizozo na machafuko kati yao na jamii za wafugaji kutoka maeneo jirani ya Karamoja pamoja na wakimbizi kutoka Sudan Kusini wanaozidi kumiminika katika eneo hilo. Hali hiyo inafuatia kipindi kirefu cha kiangazi ambacho kimesababisha ukame kwenye maeneo hayo.

https://p.dw.com/p/2Xvfj

Hali hii imesababisha uhaba mkubwa wa chakula, vyanzo vya maji kukauka na kuwalazimu wafugaji kusaka malisho kwa mifugo yao. Mwandishi wetu Lubega Emmanuel amelizuru eneo hilo na kututumia ripoti ifuatayo.