AfyaUjerumani yatahadharisha kuhusu ongezeko la maambukizi ya corona kwa wasiochanjwaTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoAfya04.11.20214 Novemba 2021Waziri wa Afya wa Ujerumani Jens Spahn ametahadharisha kuhusu ongezeko la maambukizi ya virusi vya corona hasa miongoni mwa watu ambao hawajapata chanjo. Waziri huyo ametaka hatua zaidi kuchukuliwa kuepusha maambukizi zaidi.https://p.dw.com/p/42Za2Matangazo