Ujerumani yaisihi Uingereza isijitoe Umoja wa Ulaya
Mohamed Karama Dahman20 Juni 2016
Jarida maarufu nchini Ujerumani la Der Spiegel hivi karibuni limechapisha habari za kuisihi Uingereza isijitoa katika Umoja wa Ulaya, wakati wa kura ya maoni tarehe 23 Juni. Kichwa cha habari cha jarida hilo kilisema "tafadhali usitoke". Na maelezo ya ndani ya kurasa 23 za jarida hilo, yalijikita kueleza kwanini Ujerumani inaihitaji Uingereza kubaki nayo katika Umoja wa Ulaya.
https://p.dw.com/p/1J9s8
Matangazo
Ungana na Mohammed Dahman usikie zaidi katika kipindi cha Muangaza wa Ulaya.