Wanasiasa wa Ujerumani wanajaribu kuepusha mzozo wa kisiasa, unaotokana na tofauti kuhusu sera ya wahamiaji. Waziri wa mambo ya ndani Horst Seehofer amesema atajiuzulu ikiwa matakwa yake ya kutaka kuufunga mpaka kwa wahamiaji kutoka nchi nyingine za Ulaya hayatakubaliwa. Kansela Angela Merkel anazipinga hatua hizo. Papo kwa Papo 02.07.2018.