Timu ya taifa ya Ujerumani yajiweka imara kufuzu kwa michuano ya kombe la dunia la Qatar, Poland na Bayern Munich yapata pigo baada ya staa wake Robert Lewandowski kupata jeraha la goti na kutilia mashaka ushiriki wake katika mechi dhidi ya RB Leipzig wikendi ijayo na waandalizi wa michezo ya Olimpiki ya Tokyo wasema huenda wanariadha wa kimataifa wakaalikwa kushiriki mbio za majaribio.