SiasaUjerumani, China zauteteta mkataba wa IranTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasa24.05.201824 Mei 2018Kansela wa Ujerumani Angela Merkel na Waziri Mkuu wa China Li Keqiang wameutetea mkataba wa nyuklia wa Iran, huku Li akidokeza kuwa kuusitisha mkataba huo kutayaharibu mazungumzo na Korea Kaskazinihttps://p.dw.com/p/2yFOfMatangazo