1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

240511 Zimbabwe Pressefreiheit

10 Juni 2011

Licha ya sasa kuwepo serikali ya Umoja wa Kitaifa nchini Zimbabwe, vyombo vya habari vya kujitegemea bado vinashindwa kujieleza kwa uhuru, huku Rais Robert Mugabe akiendelea kuvidhibiti vyombo vya habari vya taifa.

https://p.dw.com/p/11YMS
Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe (kulia) na Waziri Mkuu Morgan Tsvangirai
Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe (kulia) na Waziri Mkuu Morgan TsvangiraiPicha: picture alliance/dpa

Uhuru wa vyombo vya habari nchini Zimbabwe bado unaendelea kuwa ndoto ya mchana, huku kukiwa na ripoti kwamba polisi imekuwa ikitaifisha radio za masafa mafupi ili kuwazuwiya watu kusikiliza habari za kimataifa.

Katika makala hii ya Mbiu ya Mnyonge, Mohammed Dahman anaangalia hali ilivyo katika nchi hiyo ya Kusini mwa Afrika, ambayo imeshuhudia kupanda na kushuka kwa hali ya mambo ndani ya miaka 30 iliyopita.

Mwandishi: Columbus Mahvunga
Mtayarishaji: Mohamed Dahman
Mhariri: Mohammed Abdul-Rahman