1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uhifadhi wa mbega Kenya

Faiz Musa Abdallah/MMT16 Julai 2021

Mbega ni aina mojawapo ya jamii ya Tumbiri lakini wao wana rangi nyeusi na nyeupe na wanaishi juu ya miti katika misitu mikubwa barani Afrika. Ni wanyama ambao kupatikana kwao ni nadra na pia wako katika hatari ya kuangamia kutokana na uharibifu wa misitu. Katika Mtu na Mazingira leo tunaangalia wanafunzi katika Uhifadhi wa Mbega.

https://p.dw.com/p/3wZ8Y