Rais Donald Trump atetea sera zake za uhamiaji akisema magaidi wamepania kuishambulia Marekani, Mgombea urais Ufaransa Francois Fillon aomba radhi kuhusu sakata la mkewe kulipwa mshahara bila kufanya kazi, Wanigeria waandamana kupinga ugumu wa maisha huku Rais Buhari akiendelea kuugua.