You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Picha: Luke Dray/Getty Images
Picha: Luke Dray/Getty Images
Ugonjwa wa Ebola
Jifunze mengi kuhusu ugonjwa wa Ebola
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
WHO: Chanjo za majaribio za Ebola kupelekwa Uganda
WHO: Chanjo za majaribio za Ebola kupelekwa Uganda
Ugonjwa wa Ebola wazua taharuki Uganda
Vifo kutokana na vita nchini Ethiopia na mapinduzi ya kijeshi Burkina Faso pia ni mambo yaliyozingatiwa magazetini.
Uganda yathibitisha mripuko wa ugonjwa wa Ebola
Maafisa wa Afya nchini Uganda wamethibitisha kutokea mripuko wa ugonjwa wa Ebola nchini humo. Maafisa hao wamethibitisha kuwa mtu mmoja aliyeaga dunia jana aligunduliwa kuwa na virusi vya Ebola. Wamesema bado haijulikani ni vipi marehemu huyo aliambukizwa na Ebola. Sikiliza ripoti ya Emmanuel Lubega kutoka Kampala.
Mripuko mpya wa ugonjwa wa Ebola mashariki mwa Congo
Wakazi wa mji wa Beni wameanza kuwahamasisha wenzao juu ya umuhimu wa kufuata kanuni za afya kukabiliana na ugonjwa huo.
Congo: wahudumu wa afya wanufaika na ugonjwa wa Ebola
Ripoti ya Shirika la GEC imesema wahudumu wa afya walichangia ongezeko la machafuko wakati wa vita dhidi ya Ebola.
DRC yathibitisha visa viwili vya ugonjwa wa Ebola
Wizara ya Afya katika DRC yasema watu wawili wameambukizwa ugonjwa wa Ebola na kufariki dunia wiki hii Kivu Kaskazini
Congo kuanza kutumia chanjo ya pili ya majaribio ya Ebola
Shirika la afya duniani limetangaza kuwa Congo itaanza kutumia chanjo ya pili ya majaribio ya ugonjwa wa Ebola .
Tahadhari ya kuzuka ugonjwa wa Ebola Uganda
Mashirika ya afya yanakumbwa na tatizo kubwa la kuwafikia waathirika kutokana na kuzorota kwa usalama.
Shirika la WHO laidhibiti Ebola nchini Congo
Wakati huo shirika la WHO lilikaa miezi kadhaa pasipo kuchukua hatua tangu kisa cha kwanza cha ebola kilipogunduliwa.
Imani potofu, changamoto katika kuudhibiti ugonjwa wa ebola
Baadhi ya wakaazi wanakataa huduma za kiafya na badala yake wanawageukia wahubiri na maombi ili kuondoa kitisho hicho.
DRC yajiandaa kutoa chanjo ya kwanza ya ugonjwa wa Ebola
Watu waliofariki imefikia 25
Watu 17 wafariki kwa ugonjwa wa Ebola DRC
Wizara ya afya nchini Congo imethibitisha kuzuka upya kwa ugonjwa wa Ebola, jimboni Equateur
Dalili za Ebola
Mara nyingi dalili za Ebola zinajidhihirisha kama dalili za malaria au homa.
Hatua za kuzingatia unapojihisi umeambukizwa Ebola
Taasisi ya Matibabu ya Robert Koch nchini Ujerumani inapendekeza muongozo na hatua za kwanza.
Chimbuko na tisho la virusi
Virusi vya Ebola viligunduliwa kwa mara ya kwanza mnamo mwaka wa 1976 na watafiti wa magonjwa.
Njia za maambukizi na kinga
Kanuni unazopasa kuzingatia katika maeneo yanayokumbwa na ugonjwa wa Ebola
Kutibu Ugonjwa wa Ebola
Mtu aliyeambukizwa virusi vya Ebola anaweza kupona endapo utagunduliwa na kutibiwa mapema.
Hisia ya kubaguliwa na hofu
Kuzuka kwa Ebola kulizua hofu na dhana ya kubaguliwa kwa waathiriwa, ambayo ni makosa.
Kushughulikia maiti
Maiti za watu waliofariki kutokana na Ebola bado zina uwezo wa kusambaza virusi, hivyo mtu hapaswi kuzishika maiti hizo
Kuwasaidia manusura wa Ebola
Mara nyingi manusura wa ugonjwa wa Ebola huwa wanabaguliwa au kutengwa. Hakuna haja ya kuwatenga manusura wa Ebola.
DRC: Idadi ya waliofariki kwa Ebola yaongezeka
Shirika la afya ulimwenguni,WHO limesema idadi ya watu waliofariki kutokana na ugonjwa wa Ebola nchini Kongo imeongezeka mara dufu na kufikia 62 kwa kipindi cha wiki moja iliopita.
Uelewe ugonjwa wa Ebola
Vipi mtu huweza kuepuka kuambukizwa na ugonjwa huo? Pata majibu hapa.
DRC: Serikali kuwakinga raia dhidi ya ugonjwa wa Ebola
Serikali ya mkoa wa Kivu ya Kaskazini katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, imeweka mikakati ya kuwakinga raia wanaoishi kwenye maeneo ya mpaka na Uganda dhidi ya maambukizi ya ugonjwa wa Ebola.
Ugonjwa wa Ebola wazuka Uganda
Maafisa wa afya nchini Uganda wamesema jana Jumamosi (28.07.2012 ) kuwa virusi hatari vya ugonjwa wa Ebola vimesababisha vifo vya watu 14 magharibi mwa nchi hiyo mwezi huu.
KINSHASA: Ugonjwa wa ebola wazuka
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 1 wa 1
Ukurasa unaofuatia