Kutokana na ukosefu wa watalii kutoka nje, kampuni ya utalii ya Uganda inawageukia watalii vijana wa nchi hiyo wanaotaka kusafiri ndani ya nchi yao. Kuanzia kuruka juu ya maporomoko ya maji hadi kukwea mlima Elgon, kampuni hiyo inajenga msingi mdogo lakini imara wa wateja waaminifu.