1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ugaidi uliutikisa mwaka 2014

Mohammed Khelef6 Januari 2015

Umoja wa Ulaya uliuita mwaka 2014 kuwa "mwaka wa uchokozi" kwa sababu ya kujiingiza Urusi nchini Ukraine na wachambuzi wanasema mwaka huo ulikuwa "mwaka wa ugaidi" duniani.

https://p.dw.com/p/1EFaF
Kiongozi wa IS, Abu Bakr al-Baghdadi.
Kiongozi wa IS, Abu Bakr al-Baghdadi.Picha: picture alliance/AP Photo

Katika Maoni Mbele ya Meza ya Duara, Mohammed Khelef anajadiliana na wachambuzi wa siasa za kilimwengu - Ahmed Rajab (London), Abdilfattah Mussa (Tehran), Ayoub Rioba (Dar es Salaam) na Maggig Mjengwa (Iringa) - juu ya kile ambacho mwaka 2014 kiliizawadia dunia na matazamio ya mwaka 2015.

Kusikiliza makala nzima, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mhariri: Iddi Ssessanga