Matangazo
Dimba la Ujerumani limeimarika na linawasisimua mashabiki si haba. Hali ambayo imelifanya kuwa na mvuto mkubwa miongoni mwa soka katika nchi nyingine. Soka la Ujerumani hata limepewa jina la kupangwa "Football made in Germany". Katika makala ya Sura ya Ujerumani John Juma anaangazia baadhi ya mambo yanayosaidia kukuza kandanda la Ujerumani.