Shirika la afya duniani WHO limetoa tahadhari ya kuenea kwa ugonjwa wa Listeria, na huko Afrika Kusini Listeria imeleta athari kubwa. Imeibainika kuwa chanzo chake ni nyama inayosindikwa na viwanda viwili vya nchi hiyo.
https://p.dw.com/p/2ucc6
Matangazo
MMT Gesundheit South Africa Listeriosis outbreak death toll rises to 180 - MP3-Stereo