JamiiAfrikaUfahamu mji wa Daru salam wa MogadishuTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamiiAfrika17.06.202117 Juni 2021Mji wa Daru salam unapatikana kilometa 7 kutoka mji wa Mogadishu huko Somalia na umeanzisha mradi mpya wa makaazi unaovutia Wasomali walioko nje ya nchi kuwekeza nchini humo na sasa ujenzi wa majumba mapya umeshamiri. #kurunzi 17.06.2021https://p.dw.com/p/3v64mMatangazo