Udhalilishaji watoto bado tatizo duniani
1 Aprili 2012Matangazo
Katika makala hii ya Mbiu ya Mnyonge, Mohammed Dahman anazungumzia hali halisi ya haki za watoto duniani katika wakati ambao taarifa za visa vya mateso dhidi yao zikiongezeka, licha ya ulimwengu kuambiwa umestaarabika zaidi sasa kuliko hapo zamani.
Kusikiliza makala hii, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.
Makala: Mbiu ya Mnyonge
Mada: Udhalilishaji wa watoto duniani
Mtayarishaji: Mohammed Dahman
Mhariri: Mohammed Abdul-Rahman