Kuachiwa huru kwa Masheikh wawili wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar miongoni mwa 51 imezua mjadala. Sudi Mnette amezungumza na mwanasheria mkongwe ambae pia ni rais wa zamani wa chama cha wanasheria Zanzibar, Awadh Ali Said, ipi kauli yake baada ya hatua hiyo iliyopigiwa kelele kwa muda mrefu na jumuiya yao?